DRC : Mchango wa AU kumaliza mizozo Africa
Manage episode 455826538 series 1220196
Moses Balagisi, afisi kutoka shirika la umoja wa Africa linaloshirikiana na masharika ya kiraia, kuhakikisha uongozi wa juu wa AU unaskiza kilio cha raia wa chini, analeza namna gani wanahakikisha hilo linafanyika.
Kufahamu mengi zaidi, skiza makala haya.
24 bölüm