Player FM uygulamasıyla çevrimdışı Player FM !
Je mataifa tajiri yanaweza saidia mataifa maskini kupata nishati safi
Manage episode 418583949 series 1143115
Wiki hii Paris, ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa Kimataifa kujadili namna ya kuyasaidia mataifa masikini hasa barani Afrika, kufikia malengo ya kukumbatia nishati safi ya kupikia na kuachana na mkaa na kuni.
Ufaransa, imeahidi kutoa Euro Milioni 100 kusaidia kufikia malengo hayo ndani ya miaka mitano ijayo.
Unaamini mataifa tajiri yatasaidia Afrika katika hili ?
Serikali ya nchi yako inafanya nini kukumbatia matumizi ya nishati safi kama gesi ?
Haya hapa baadhi ya maoni yako.
24 bölüm

Tüm bölümler
×Player FM'e Hoş Geldiniz!
Player FM şu anda sizin için internetteki yüksek kalitedeki podcast'leri arıyor. En iyi podcast uygulaması ve Android, iPhone ve internet üzerinde çalışıyor. Aboneliklerinizi cihazlar arasında eş zamanlamak için üye olun.