Miongoni halka açık
[search 0]
Download the App!
show episodes
 
Artwork

1
Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Unsubscribe
Unsubscribe
Haftalık+
 
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
  continue reading
 
Artwork

1
Siha Njema

RFI Kiswahili

Unsubscribe
Unsubscribe
Haftalık
 
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Katika makala haya tunajadili kinachoendelea katika mataifa mengi ya Afrika kuendelea kushuhudia ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana, hii likichangia kwa kiasi kikubwa uhalifu. Je Wewe unafanya nini ili kupata riziki ya kila siku ? Ndilo swali tumekuuliza Haya hapa baadhi ya maoni yako.RFI Kiswahili tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Ripoti nyingi zinaonesha wanawake pamoja na wanaume wanakabiliwa na changamoto za uzazi Wanandoa nyingi wanalazimika kukaa miaka mingi kabla kupata watoto ,kitu ambacho bado kinazingatiwa na jamii za Afrika kuwa ukamilifu katika kila ndoa au familia. Daktari bingwa wa uzazi dkt Dennis Miskella anaeleza juhudi za kutafuta mtoto zinastahili kuwa ushi…
  continue reading
 
katika makala haya tunajadailki hatua ya rais wa rais wa #Tanzania #SamiaSuluhuHassan , kuwaonya makutoa ya pamoja taarifa kulaani matukio ya utekaji na mauaji dhidi ya wakosoaji wa Serikali yake. Je unafikiri kauli Samia ni sahihi? Ndilo swali tumekuuliza, na haya hapa baadhi ya maoni yako.RFI Kiswahili tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Katika makala haya tunajadili misururu ya kuvunjika kwa ndoa za siku hizi hili haliathiri tu watu wa kawaida bali pia watu maarufu katika jamii zetu. Je unafikiri nini kinachangia ndoa za siku hizi kuendelea kuvunjika haraka kinyume na zamani? Ndilo swali tumekuuliza, na haya hapa baadhi ya maoni yako.…
  continue reading
 
Raia wengi bado hawawezi kufurahia haki zao za afya ya uzazi kutokana na ukosefu wa ufahamu Haki hizo ni pamoja na haki ya kuwa mzazi au la,kupata habari kuhusu afya ya uzazi ,kupata huduma bora za uzazi ,kushiriki mapenzi kwa njia stahiki na kuhudumiwa katika vituo vya afya kwa heshimaRFI Kiswahili tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
katika makala haya tunajadili hatua ya serikali ya Sudan Kusini juma lililopita kutangaza kuahirisha uchaguzi mkuu uliokuwa ufanyike mwezi Desemba mwaka huu. Uchaguzi huu sasa ukisongezwa mbele kwa miaka miwili baada ya shinikizo la ndani na nje. Je huu ni uamuzi sahihi kwa Sudan Kusini? Haya hapa baadhi ya maoni yako…
  continue reading
 
Katika makala haya tunajadili hatua ya umoja wa mataifa kusema unatathimini kutangaza vikwazo dhidi ya majenerali wawili nchini Sudan ambao wamekuwa kwenye vita kwa zaidi ya miezi 17. Je unafiriki kutangazwa kwa vikwazo dhidi ya majenerali wa Sudan kutasitisha vita nchini Sudan? Unahisi jumuiya ya kimataifa imesaidia, kutatua mizozo Africa, ndio ma…
  continue reading
 
Kwenye makala ya Habari Rafiki leo tunajadili kilichofanyika nchini Kenya, ambapo taifa hilo la Africa mashariki limeadimisha miaka 14 tangu lijipatie katiba ya mwaka 2010, ila imekuwa vigumu kwa serikali kutekeleza baadhi ya vipengee vya katiba hiyo. Unafiriki nini huzuia serikali yetu kuttotekeleza katiba? Ndilo swali tumekuuliza, na haya maoni y…
  continue reading
 
Mashirika ya kiraia yanayofanya kazi maeneo ya Kisumu nchini Kenya wanawasaidia wanawake kuachana na mpango wa kuuza miili yao ili kupata samaki Tabia hiyo inayofahamika kama ngono samaki kwa wakazi imekuwa ikichangia msambao wa virusi vya HIVRFI Kiswahili tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
katika makala ya Rabari Rafiki, leo mskilizaji tunajadili hatua ya Mataifa ya Afrika yalioathirika na ugonjwa Mpox kuendelea kusubiri chanjo kutoka kwa mataifa ya magharibi ili kuwapa raia walioathirika. Je unafikiri kwa nini hadi sasa Afrika haiwezi tegeneza chanjo yake? Ndilo swali tumekuuliza na haya maoni yako.…
  continue reading
 
Katika makala haya tunajadili hatua ya kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, kusema hataki mazungumzo yoyote yatayohusisha wapiganaji wa RSF, akisema jeshi liko tayari kupigana hata kwa miaka 100. Matamshi yake yamekuja wakati huu Marekani ikiongoza juhudi za kupata mwafaka wa mani kati yake na vikosi vya RSF.…
  continue reading
 
Mikakati ambayo WHO inahimiza nchi za Afrika kukumbatia ni ubadilishanaji wa taarifa kuhusu ugonjwa wa Mpox ,ubainishaji sahihi na kampeni za chanjo Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ,kuna hofu ya msambao hatari wa MPox unaohuishwa na vitendo vya ngono Watalaam wa afya nchini DRC pia wanahimiza uhamasisho zaidi kuhusu ugonjwa huo ambao umesab…
  continue reading
 
Shirika la afya duniani ,WHO na taasisi ya kudhibiti magonjwa ya umoja wa Afrika ,CDC zililazimika kuchukua uamuzi mzito wa kutangangaza MPOX dharura ya kiafya Mataifa 16 ya Afrika kati ya 55 yameripoti visa vya MPOX mwaka huu ,CDC ikisema maambukizo yamepanda hadi asilimia 160 mwaka huu ukilinganishwa na mwaka 2023 Virusi vya MPOX vimeripotiwa kuj…
  continue reading
 
Kuuza bidhaa za tumbaku za kisasa ,kama bidhaa zisizo na madhara ,kutumia ladhaa tamu na kutumia mitandao ya kijamii kuuza bidhaa hizi ni mbinu ambao kampuni za kutengeneza tumbaku zinatumia kuwavutia vijana na kuwa wateja wao wa kudumu. Kampuni hizi zinafadhili pia utafiti ambao unakinzani na utafiti wa taasisi za afya kuhusu madhara ya Tumbaku.Is…
  continue reading
 
Kumeshuhudia juhudi makhsusi kutoka sekta ya Tumbaku zinazopinga sheria zinazodhibiti Tumbuka kama vile kupitia ushuri au sheria zenye adhabu kali Sekta hii pia imeonekana kurubuni serikali tofauti kwa kutoa msaada bila wao kufahamu lengo la sekta hiyo. Aidha kuna tafiti za kisayansi zinazofadhiliwa na sekta hii kukabili sayansi zinazorodhesha tumb…
  continue reading
 
Ugonjwa wa Endometriosis hudhihirika msichana anapovunja ungo na huja na maumivu makali kabla ,wakati na hata baada ya hedhi Lilian Leley ameishi na maumivu hayo kwa zaidi ya miaka thelathini.Amefanya upasuaji mara mbili na anatazamiwa kwenda kwenye operesheni nyingine hivi karibuni katika kujaribu kutafuta tiba ya ugonjwa wa Endometriosis Anasimul…
  continue reading
 
Tunajadili visa vya watu kutekwa nyara kuendelea kuripotiwa katika ya mataifa yetu ya Africa hivi karibuni visa kama hivi vikiripoti kwa wingi nchini Kenya, vyombo vya usalama vikituhumiwa kwa utekaji huo. Je nchini mwako kuna visa kama hivyo ? ndio baadhi ya maswali tumeuuliza karibu Haya hapa baadhi ya maoni yako.…
  continue reading
 
Katika makala haya mshale wetu unalenga taifa la Kenya, ambapo polisi nchini humo wamefaulu kumkamata mshukiwa mkuu wa mauaji wanawake 42, ambao sehemu za miili yao iliyokuwa imekatwa vipande vipande na kuwekwa kwenye magunia kabla ya kutupwa kwenye shimo la kutupa taka. Tunauliza mskilizaji unafikiri nini huchangia mambo kama haya kutokea kwa jami…
  continue reading
 
Endometriosis hutokea wakati tishu kwenye ukuta wa tumbo la uzazi zinapopatikana katika maeneo mengine ya mwili ikiwemo mapafu ,utumbo na hata ubongo Endemotriosis huwa na dalili zinazofanana magonjwa mengine ya uzazi na unaweza kubainika kupitia kipimo cha Laparoscopy ambapo tishu hizo zinachunguzwa moja kwa moja…
  continue reading
 
Katika makala haya tunajadili uwezekano wa vikosi vya MONUSCO nchini DRC kusalia kwa muda kwenye taifa hilo, kutokana na ripoti za uwepo wa wanajeshi wa Rwanda wanaowasaidia waasi wa M23. Tumeuliza wewe unaunga mkono vikosi vya MONUSCO kusalia DRC? Haya hapa baadhi ya maoni yako.RFI Kiswahili tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Bidhaa za vyakula au vinywaji zikiwa na machapisho ya kuonesha kuwa vina sukari nyingi ,chumvi nyingi au mafuta mengi mnunuzi anakuwa na fursa ya kuchagua vema Watalaam wamesema lishe ni kiungo muhimu katika kupambana na magonjwa yasiyoambukizwa ambayo yanazidi kuongezeka na kuwa mzigo kubwa kwa jamii na mifumo ya afya…
  continue reading
 
Vitiligo ni hali ya ngozi ambapo madoa meupe au mabaka yanaonekana. Inaweza kuathiri mtu yeyote, ikiwa ni pamoja na watoto na vijana. Sio hatari, si kama saratani ya ngozi au maambukizi unayoweeza kupata na kwa hiyo huwezi kuipata kutoka kwa mtu mwingine. Watu wengi wenye vitiligo wana afya nzuri. Baada ya muda, mabaka zaidi yanaweza kuonekana kwen…
  continue reading
 
Kumekuwa na mvutano kati ya serikali ,uongozi wa kaunti za Pwani ya Kenya ,kuhusu Muguka kupigwa marufuku kwa sababu za kiafya Wakulima ,wafanyabiashara na wenyeji wa Embu wanaozalisha Muguka kwa kiasi kikubwa hata hivyo wanasema hawajapata madhara yoyote Hata hivyo watalaam wa afya wanaonya uraibu wa Muguka unaweza kudhuru afya…
  continue reading
 
Mataifa ya Afrika bado yanaendelea kushuhudia kasi ya ongezeko la watu ijapokuwa chumi za Afrika hazifanyi vizuri inavyotakikana Watalaam wanaonya iwapo idadi ya watu haitodhibitiwa ,kupangiwa huenda mataifa mengi yakalemewa na idadi ya watu wanaowategemea wengine Aidha kuna hatari ya sera za serikali kushindwa kukidhi mahitaji ya raia wake ,idadi …
  continue reading
 
Mycetoma ni mojawapo ya magonjwa yaliyopuuzwa ingawa unaendelea kuwaathiri wengi haswa watu wanaokaa maeneo kavu na jamii zilizotengwa Mycetoma hujidhihirisha kama donda ambalo haliponi bali linaendelea kukua na kuchimba sehemu athirika katika mwiliRFI Kiswahili tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Mataifa wanachama wa shirika la afya duniani ,WHO yanayokongamano katika kongamano la afya ya 77 jijini Geneva yanataka kuwepo mwongozo wa afya kukabiliana na hali ya dharura baada ya janga la COVID 19 Mataifa haya yanasisitiza kuwepo usawa kwenye kuzalisha na matumizi ya sampuli za kutengeneza sampuli zinazochangiwa na nchi mbali mbali Aidha usawa…
  continue reading
 
Kumekuwa na ongezeko la idadi ya watoto na vijana wanaokabiliwa na changamoto za afya ya akili Kila mwezi Mei dunia huungana kufanya kampeni ya watu kuwa makini na afya zao za akili ili kuzuia changamoto zaidi za akili ambazo wakati mwingi huishia kwenye umauti na matatizo zaidi ya kiafya Watalaam wa afya wanasema watoto na vijana pia nao hupatwa n…
  continue reading
 
Ajali za barabara huchangia vifo vingi vya watu walio katika umri kati ya miaka mitano hadi 29 kwa mujibu wa WHO Uchunguzi unaofanywa baada ya ajali huonesha madereva wengi hulaumi kufeli kwa breki ilhali wengi wana msongo wa mawazo ,imesema mamlaka ya usalama barabarani nchini Kenya ,National Transport and Safety Authority. Ongezeko la magari,mchi…
  continue reading
 
Kuna ongezeko la magonjwa ya figo na ini kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO inabashiri kuwa ongezeko hilo litakuwa juu zaidi kufikia mwaka 2030 ,hali hii ikichangiwa na hali ya maisha haswa ya raia katika nchi zinazoendelea Ugonjwa wa ini maarufu Hepatitis pia ni tishio kubwa haswa kwa raia wa Afrika ambayo inachangia asilimia 63 ya visa vya…
  continue reading
 
Wawawake kutoka ukanda wa Afrika wanajumuika Dar Es Salaam mwishoni mwa juma kupiga jeki kampeni za kuboresha afya Nchini DRC mikakati iliyoweka kudhibiti mlipuko wa Kipindu Pindu ulioripotiwa katika mataifa ya Afrika ya Kusini ,inaendelea kulipa na hata kuwa msaada kwa mataifa jirani kama vile Zambia…
  continue reading
 
Loading …

Hızlı referans rehberi