Mashari halka açık
[search 0]
Daha fazla
Download the App!
show episodes
 
Loading …
show series
 
Maonyesho haya pamoja na kutoa fursa kwa makampuni ya Afrika mashariki kujifunza na kupanua wigo wa biashara za nje kwakutumia fursa zilizopo za makubaliano ya kibiashara kati ya nchi washiriki nahata kuvuka mipaka ya kufikia juuiya nyingine kwama vile SADC, AGOA,na EBARFI Kiswahili tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Hivi karibu serikali ya Tanzania iliitaka taasisi ya uvuvi ya Ziwa Victoria (LVFO) kuandaa mkakati wa kulifunga ziwa hilo kwa kipindi kirefu. Kauli hiyo inakuja siku chache baada ya kufunguliwa kwa Ziwa Tanganyika lililofungwa kwa miezi mitatu kutoka Mei 15 hadi Agosti 15, 2024 kwa ajili ya kuruhusu samaki kuweza kuzaliana kwa wingi…
  continue reading
 
Serikali ya Tanzania imekuwa ikiteleza kanuni za mwaka 2009 juu ya kulifunga ziwa hilo kwa muda wa siku 10 utaratibu huu umekuwa endelevu hadi sasa ambapo kila mwezi wavuvi hawaruhusiwi kujishughulisha na shughuli za uvuvi kwa siku 10, ikiwa na maana kwamba katika kipindi cha mwaka mzima, Ziwa hilo linafungwa kwa siku 120, sawa na Robo mwaka yaani …
  continue reading
 
Shughuli za Uvuvi katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma zilifungwa kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Mei 15 hadi Agosti 15, mwaka huu lengo likiwa ni kupumzisha ziwa hilo, ili kuchagiza ongezeko la Samaki Kufungwa kwa ziwa hilo ni makubaliano yaliyoazimiwa katika kikao kilichofanyika mwaka 2022 kikihusisha nchi zinazozunguka ziwa hilo ambaz…
  continue reading
 
Siku ya Vijana Ulimwenguni, ambayo huadhimishwa tarehe 12 Agosti kila mwaka, ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mnamo mwaka wa 1999 kupitia maazimio ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Lengo kuu la siku hii ni kutambua mchango wa vijana katika jamii, kuhamasisha ushirikiano na kuunga mkono haki za vijana, na kuonyesha jinsi vijana wanavyoweza kuchangia…
  continue reading
 
Raia wa Rwanda ambao ni wanachama wa Jumuiya ya Afrika mashariki, kwa sasa wapo katika kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu Uchaguzi utakaofanyika Julai 15, 2024 kumchagua rais wao mpya Pamoja na wabunge Rais anayemaliza muda wake Paul Kagame anawania kwa muhula wa nne akisaka ridhaa ya Wanyarwamda kusalia katika Ikulu ya Kigali Taifa la Rwanda linalo…
  continue reading
 
Makala ya Afrika mashariki ikiangazia juu ya namna wakazi wa Jumuiya ya Afrika mashariki wakiwa katika mkwamo wakupata katika huduma ya maji kwa ukaribu licha uwepo wa vyanzo vikumbwa vya maji. Kwa mujibu wa tovuti ya Jumuiya ya Afrika mashariki, Maziwa makubwa yote mawili kwa maana ya ziwa Victoria na Tanganyika, na hatimaye, Mto White Nile hutege…
  continue reading
 
Ulawiti ni janga linaloendelea kuwakumba watoto si tu katika mataifa ya ukanda wa Afrika mashariki bali katika mataifa mbalimbali ulimwenguni. Nchini Tanzania kumekuwa na takwimu za kupanda na kushuka huku baadhi ya wanaharkati wakisema kuwa swala la uzembe limekuwa likichangia kuongezeka kwa ubakaji na ulawiti kwa Watoto Hatua mbalimbali zimekuwa …
  continue reading
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Masuala na Utalii, katika taarifa ya misitu na ufugaji nyuki inabainisha kuwa mkaa ni chanzo kikubwa cha nishati ya kaya katika maeneo ya mijini kwa kupikia na kupasha joto, kwa kuwa inachukuliwa kuwa ya bei nafuu na inapatikanakwaurahisi. Inakadiriwa kuwa asilimia 85 ya watu wote wa Tan…
  continue reading
 
Uchumi wa Buluu ni dhana pana yenye kubeba maana nzima ya kutumia kila rasilimali itokanayo na rasilimali maji kama Bahari, mito na maziwa. Dhana hii ubeba shuguli mbalimbli ikiwemo utalii, uvuvi, kilimo cha mwani, bandari pamoja na mafuta na gesi zilizomo baharini au katika maziwa. Kwa wakazi wa Jumuiya ya Afrika mashariki hasa katika mikoa inayo …
  continue reading
 
Mradi wa kilimo endelevu unatanua mbawa zake sio tu katika kilimo bali pia kuwajengea uwezo wakulima kufanya shuguli za ufugaji. Mradi huu unatekelezwa kwa ufadhiri wa shirika la maendeleo la Ufaransa AFD katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania unakwenda mbali zaidi hadi kuwafikia wanamazingira. Mafuzo wanayopata wanasema yamekuwa chachu yakubadili M…
  continue reading
 
Karibu Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo inatuwama katika Mkoa wa Arusha palipo makao makuu ya Jumuiya ya Afrika mashariki tukiangaza juu ya miradi ya kilimo endelevu inayotekelezwa kwa ufadhili wa Shirika la maendeleo la Ufaransa AFD.RFI Kiswahili tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Loading …

Hızlı referans rehberi