Alfajiri halka açık
[search 0]
Daha fazla
Download the App!
show episodes
 
Loading …
show series
 
Ripoti ya kila mwaka ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, inaonyesha hali bado ni mbaya nchini Zimbabwe, DRC na Ethiopia, licha ya kuisifu Zimbabwe kwa kutekeleza sheria kulinda watoto dhidi ya mimba za mapema.VOA tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.VOA tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Baadhi ya viongozi wa nchi na serikali waliohudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi wa Rwanda miaka 30 iliyopita wamesema hadi sasa, licha ya kubainika kuwa ulimwengu ulishindwa kuzuia mauaji hayo, bado dunia haijajifunza kutokana na kilichotokea wakati huo.VOA tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Gavana wa Jimbo la Maryland, Wes Moore, ameweka wazi kuwa hapakuwa na kitendo chochote cha kigaidi baada ya daraja kuu katika mji wa Baltimore kubomoka Jumanne asubuhi wakati meli iliyobeba mizigo kugonga nguzo yake.VOA tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Mgombea urais kwa tikiti ya upinzani wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, mgeni kisiasa, lakini ambaye ni maarufu miongoni mwa vijana wasioridhishwa na utawala uliopo, aliahidi Jumatatu kutawala kwa unyenyekevu na uwazi, wakati akisubiri kutangazwa kuwa rais ajaye.VOA tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Hesabu za kwanza katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal Jumapili zinaonyesha mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye akiongoza.Wafuasi wake walianza kusherekea mitaani baada ya siku ya amani ya uchaguzi ambayo wengi wanatumaini utaleta mabadiliko.VOA tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Baraza la Wawakilishi la Marekani, Jumatano liliidhinisha mswada, wa kuilazimisha programu maarufu ya mtandao wa kijamii, TikTok, kujitenga na kampuni mama, inayomilikiwa na China, ya ByteDance au kuuza sehemu ya programu hiyo kwa Marekani.VOA tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Afisi ya Wizara ya Fedha ya Marekani inayohusika na Udhibiti wa Mali za Kigeni (OFAC), Jumatatu imeyawekea vikwazo mashirika 16 na watu binafsi, ambao inasema wanahusika katika mtandao mpana wa biashara unaozunguka Pembe ya Afrika, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Cyprus.VOA tarafından oluşturuldu
  continue reading
 
Loading …

Hızlı referans rehberi